Wudhu before sleep

*Angels supplicate for those who sleep with wudhu*

Abu Huraira reported:

_The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said,

*“ Whoever retired for the night in a state of purity, an angel will reside with him in his bed. He will not awaken for an hour in the night but that the angel says: O Allah, forgive this servant of yours, for he retired in a state of purity .”*

_Source: al-Da’wāt al-Kabīr 358 Grade: Hasan (fair) according to Al-Albani_

ﻋَﻦْ ﺃَﺑِﻲ ﻫُﺮَﻳْﺮَﺓَ ﻋَﻦِ ﺍﻟﻨَّﺒِﻲِّ ﺻَﻠَّﻰ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﻭَﺳَﻠَّﻢَ ﻗَﺎﻝَ 

*ﻣِﻦْ ﺑَﺎﺕَ ﻃَﺎﻫِﺮًﺍ ﺑَﺎﺕَ ﻓِﻲ ﺷِﻌَﺎﺭِﻩِ ﻣَﻠَﻚٌ ﻟَﺎ ﻳَﺴْﺘَﻴْﻘِﻆُ ﺳَﺎﻋَﺔً ﻣِﻦَ ﺍﻟﻠَّﻴْﻞِ ﺇِﻟَّﺎ ﻗَﺎﻝَ ﺍﻟْﻤَﻠَﻚُ ﺍﻟﻠَّﻬُﻢَّ ﺍﻏْﻔِﺮْ ﻟِﻌَﺒْﺪِﻙَ ﻓُﻠَﺎﻥٍ ﻓَﺈِﻧَّﻪُ ﺑَﺎﺕَ ﻃَﺎﻫِﺮًﺍ*

358 ﺍﻟﺪﻋﻮﺍﺕ ﺍﻟﻜﺒﻴﺮ ﻟﻠﺒﻴﻬﻘﻲ

2539 ﺍﻟﻤﺤﺪﺙ ﺍﻷﻟﺒﺎﻧﻲ ﺧﻼﺻﺔ ﺣﻜﻢ ﺍﻟﻤﺤﺪﺙ ﺇﺳﻨﺎﺩﻩ ﺣﺴﻦ ﻓﻲ ﺍﻟﺴﻠﺴﻠﺔ ﺍﻟﺼﺤﻴﺤﺔ

Advertisements

Mwezi Wa Rajab

masrawy-d-com-rajab

Mwezi wa Rajab ni mwezi wa saba katika kalenda ya kiislamu na ni katika miezi mitakatifu ambayo Mwenyezi Mungu Mtukufu ameusia waja wake wasijidhulumu katika Miezi hiyo,
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukfu:

إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللَّهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللَّهِ يَوْمَ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ۚ ذَٰلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ ۚ فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ   التوبة:36

[Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukumu ya Mwenyezi Mungu tangu alipo umba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko mine mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo]     [Tawba:36]
Na Allah subhanahu Wata’ala kwa hikma yake amefadhilisha baadhi ya siku kuliko siku nyingine, kama alivyo ifadhilisha siku ya ijumaa katika Wiki,na ameifadhilisha baadhi ya Miezi kuliko miezi mengine kama alivyo ifadhilisha miezi hii minne mitakatifu ,Dhulqa’ada, Dhul hijja, Muharram,na Rajab kuliko miezi mengine katika Mwaka,na kadhalika Mitume kwa Hikma yake Subhanah.
Na Waarabu kabla ya Uislamu walikuwa wakiutukuza mwezi huu wa Rajab na wakiuhishimu wakiacha kupigana vita na uhasama, na wameupatia majina tofauti kwa sababu ya kuutukuza kwao, miongi mwa majina hayo;
1 Al’aswam (Kiziwi) kwa sababu walikuwa wakiacha kupigana na kuwa haisikiki milio ya silaha
2. Al’Aswab (wenye kumiminwa) Maqureshi walikuwa wakitakidi kuwa Mwezi wa Rajab Mwenyezi Mungu humimina kheri yake kwa Wingi.
3. Rajm (kufukuzwa) kwa sababu Mashetani hufukuzwa katika Mwezi huu.
Na walikuwa na majina mengi lakini tutosheke na hayo, na majina yote hayo ni kuwa mwezi huu wa Rajab ulikuwa ukihishimiwa na kutukuzwa na waarabu kabla ya kuja Uislamu .
Na Mtume ﷺ asema katika hadithi iliyopokelewa na Abi bakara radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ alikhutubu katika hija yake akasema:

إن الزمان قد استدار كهيئته يوم خلق الله السموات والأرض، السنة اثنا عشر شهرًا منها أربعة حُرُم، ثلاثة متواليات ذو القعدة وذو الحجة والمحرم، ورجب مُضر الذي بين جمادى وشعبان       متفق عليه

[Hakika zama zimezunguka kama siku alivyo umba Mwenyezi Mungu mbingu na Ardhi, Mwaka una miezi kumi na mbili, katika hiyo (Miezi ) kuna minne mitakatifu, mitatu imefuatana Dhulqaada, dhulhijja, Muharram na Rajab Mudhwar ulioko kati ya Jumada na Shabani.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
Na Mtume  ﷺ ameuita Rajab Mudhwar kwa sababu kabla ya Uislamu kulikuwa na Ikhtilafu kuhusu mwezi huu wa Rajab kabila la Rabii’a walikuwa wakisema Rajab ni mwezi wa Ramadhani kwa sababu hiyo wao walikuwa hawau hesabu mwezi huu wa rajab kuwa ni katika miezi mitakatifu na kabila la Mudhwar walikuwa wakiuhishimu Mwezi Huu, ulipokuja Mtume akabainisha kuwa Mwezi mtukufu ni Mwezi huu wa rajab Mudhwar yaani unaotukuzwa na kabila la Mudhwar na akutaka kuweka wazi akabainisha kuwa ni Mwezi ulioko kati ya Jumad na Shabani,na kumesemwa kuwa kabila hili la Mudhwar walikuwa wakiuhishimu mwazi huu wa Rajab zaidi kuliko makabila mengine.

JE KATIKA MWEZI HUU KUNA IBADA MAALUM.
Pamoja na kuwa Mwezi wa Rajab ni katika Miezi Mitakatifu lakini Mwezi Mungu Mtukufu,na Mtume wake ﷺ hawakuhusisha Mwezi huu na ibada Makhsusi, wala hakupokelewa kwa bwana Mtume ﷺ kuwa alikuwa akiuhusisha Mwezi huu wa Rajab kwa ibada, linalo takikana kwa kila muislamu ni kufuata mafundisho tulio fundishwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake, nao ni kujiepusha na kufanya Madhambi katika Mwezi huu,na tusiwe ni wenye kujidhulumu nafsi zetu kama alivyo sema Menyezi Mungu:

{فَلَا تَظْلِمُوا فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ}

[Basi msidhulumu nafsi zenu humo]

Na wala tusifanye lolote lile ambalo hatukufunzwa na dini yetu.

Asema Ibnu Hajar Mwanachuni maarufu Mungu amrahamu:
لم يرد في فضل شهر رجب، ولا في صيامه، ولا في صيام شيء منه معين، ولا في قيام ليلة مخصوصة فيه حديث صحيح يصلح للحجة              تبيين العجب  ص:6

“Haikupokelewa katika kufadhilsha Mwezi wa rajab,wala katika kufunga kwake, wala katika kufunga siku Fulani katika mwezi huu wala kuhusisha usiku kwa kisimamo hadithi sahihi ambao inaweza kuitolea hoja.”    [Tabyinul Ujab uk 6]

MAMBO YALIOZUSHWA KATIKA MWEZI WA RAJAB

Katika mwezi huu wa rajab kuna baadhi ya waislamu wanaitakidi mambo mengi ambayo yamezuliwa katika dini na mambo ambayo hayakujulikana wakati wa Bwana Mtume ﷺ wala zama za Makhalifa waongofu, wala karne tatu zilizo bora,na baadhi ya mambo hayo watu wamemzulia Mtume ﷺ hadithi za urongo na waislamu wengi wakaitakidi kuwa ni katika mambo ya kheri kwa sababu ya kutoijuwa dini yao,katika baadhi ya mambo ya uzushi ni kama yafuatavyo:

1. Kusherehekea usiku wa Israa na Miraaj

Baadhi ya waislamu wanasherehekea usiku wa ishrini na saba wa mwezi huu wa Rajab kwa kuwa ndio usiku wa Israai na Miraaji (usiku aliopelekwa Mtume kutoka Makkah hadi Masjidul Aqswaa na kutoka Masjidul Aqswa mpaka uwingu wa saba) na jambo hili si sahihi bali wanazuoni wa tarekhe wamekhitalifiana juu ya hilo,kuna wanaosema kuwa ilikuwa ni 27 mwezi wa mfungo sita na kuna wanaosema ni mwezi wa mfungo saba.Na hata kama tarehe hiyo ya mwezi wa Rajab ni sawa lakini haijapokelewa kutoka kwa Mtume wetu ﷺ wala kwa Maswahaba wa tukufu kuwa walikuwa wakisherehekea siku hiyo, na bila shaka kama ingelikuwa ni Sunna au ni katika jambo la dini wao wangelikuwa wa kwanza kulifanya hilo.

2. Kukhusisha Mwezi wa Rajab na Kufunga

Kuna baadhi ya wailsamu wanaitakidi kuwa ni Sunna kufunga mwezi huu wa Rajab na Shaban na Ramadhan yani kufululiza kufunga miezi mitatu hii kwa pamoja, na kuna Hadithi za kuhimiza waislamu kufunga mwezi huu lakini hadithi hizo karibu zote ni Hadithi Dhaifu na nyingine ni hadithi Maudhui za kupangwa kama walivyosema wanachuoni wa Hadithi.
Asema Ibnul Jawziyah katika kuelezea muongozo wa Mtume ﷺ katika kufunga saumu za Sunna
لم يصم الثلاثة الأشهر سردًا ـ رجب وشعبان ورمضان ـ كما يفعله بعض الناس، ولا صام رجبًا قط، ولا استحب صيامه، بل روي عنه النهي عن صيامه ذكره ابن ماجه       زاد المعاد (2/64

“Hakufunga miezi mitatu kwa mfululizo Rajab na Shaban na Ramadhani kama wanavyo fanya baadhi ya watu,wala hakufunga mwezi wa Rajab kabisa,wala hakusunisha kufunga,bali imepokewa kukataza kufunga kama alivyo taja Ibnu Maajah.”    [Zaadul Ma’aad 2/64]

3. Swalatu Raghaib

Baadhi ya waislamu wanaitakidi kuwa ni Sunna muislamu kuswali Al hamisi ya kwanza katika Mwezi wa Rajab au usiku wa kuamkia ijumaa rakaa kumi na mbili,na imekuja hadithi Maudhui kuhusu swala hii ikielezea namna ya kuswaliwa kwake haina haja ya kuelezea hadithi kama hiyo,la muhimu ni kujuwa kuwa haikuthubutu kutoka kwa mtume Swala Maluum katika Mwezi huu wa Rajab

Asema Imamu Annawawiy Mwanachuoni Marufu wa Madhehebu ya Imamu shafiy Mungu amrahamu
هي بدعة قبيحة منكرة أشد إنكار، مشتملة على منكرات، فيتعين تركها والإعراض عنها، وإنكارها على فاعلها”     فتاوى الإمام النووي  ص:57″

“Hiyo ni Bid’a mbaya yenye kupingwa sana, na imekusanya mambo ya munkar,ni lazima kuiwacha na kuipuuza na kumpinga anae ifanya”     [Fatawal Imamu Annawawiy uk 57]
Hizi ni baadhi ya mambo ya uzushi yaliozushwa katika Mwezi huu wa Rajab,na ni wajibu kwa kila Muislamu ambae alikuwa hajui na akiitakidi mambo kama haya basi akomeke na kuachana na Bid’a kama hizi
Twamuomba allah atujalie tuwe ni wenye kufuata Sunna za bwana Mtume na atuepushe na mambo ya Bid’aa na uzushi.

Courtesy: Uongofu.com

Kwa Makala mengine zaidi ya Dini ya Uislamu Ingia:http://uongofu.com/

 

Entrepreneurial

In Delhi, there was a Samosa vendor. His shop was in front of a Big company. His Samosa was so tasty. Most of the employees use to eat that samosa at lunch time.
One day, a Manager came to that guy selling samosas. While he was eating samosa he comes in the fun mood.
He asks a question: You have maintained your shop so nicely and have good management skills. Don’t you think that you are wasting your talent and time by selling just Samosas?
Think, if you were working like me in any big company, you would have been a manager like me, isn’t it?
Poor samosa guy, he smiled at the manager and said awesome lines.

Sir, I thought my work is better than your work. Do u know why?

10 years back I used to sell samosa in tokari (Leaf basket). At same time you got this job. That time I was earning Rs. 1,000 in a month and your salary was 10K.

In this 10 years of journey, we did progress a lot.
I owned a shop and became famous ‘samosa-wala’ in this area and you became a manager.

Now you are earning Rs.1 lakh while I am earning same and sometimes more than you. So surely, I can say that my work is better than yours.

It’s because of my kids future.

Let me explain –

Please pay close attention to my word. I started my career at lowest income. my son doesn’t have to suffer the same. One day my son will take over my business. He doesn’t have to start from 0. He will get fully established business, but in your case, the benefits will be taken by your boss kids, not by your kids.

You can not offer your same post to your son or daughter. They have to start from zero again. Whatever you have suffered 10 years ago, your kids have to suffer the same.

My son will extend my business from now and when your kid will be manager my son will be far away.

Now tell me who is wasting the Talent and Time.

Manager gave Rs.50 for two samosa’s and he didn’t speak any word and left.

Good Lesson to become Entrepreneur
Source: Reddit.

SASA NIMEFAHAMU!!

maxresdefault 1

 

Wengi huniuliza (SASA NIMEFAHAMU!!) umefahamu nini ?? Na wamanisha nini? na wapo walio tafsiri wanavyo taka wao walivyo dhania bila kuniuliza nilicho kikusudia.
Kwa wanao taka kujua nilicho kikusudia katika msamiati huu (SASA NIMEFAHAMU) nawambia hivi:
Nimefahamu mengi nilio kua siyajui na ata niliokua nayajua, tena SASA wala sio leo kumanisha ni jambo ninalo endelea nalo paka mwisho wa maisha yangu, sababu inawezekana nilio wambia kua nimefahamu ikawa bado sijafahamu lakini sina khofu kwakua nasoma nafanya utafiti nafikiria nauliza na mwanadamu heshi kusoma hivyo basi daima anatakiwa kufahamu kila anacho kisoma, na hapo nitakapo fahamu lolote lile wakati huo pia nitawambia yakua SASA NIMEFAHAMU, kufahamu ndilo lengo kuu kwa tunayo soma na kujifunza, na ndipo nikaufanya msemo hu SASA NIMEFAHAMU kua ni project yangu katika kuleta mabadiliko ya kifikra katika jamii na kusahihisha baadhi ya mambo yanao hitajia kusahihishwa na kufahamika katika imani, ibada, akhlaq, matangamano, Dunia na mengineo. Na nimeandaa programmes tofauti chini ya msamiati huu,
Kufahamu ndilo lengo kuu la yoyote anae taka kujua, na mjuzi alie fahamu, Hawi sawa na asie fahamu, japo wote wamesoma sababu wa kwanza kafikia lengo, na wapili hakufikia.

Mwenyezi Mungu s.w  ameiteremsha hii Qur’ani ili watu waizingatie Aya zake na wapate kuwaidhika wenye akili kama alivyo sema:

كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ مُبَارَكٌ لِّيَدَّبَّرُوا آيَاتِهِ وَلِيَتَذَكَّرَ أُولُو الْأَلْبَابِ}    ص:29}

[Na hiki Kitabu, tumekuteremshia wewe, kimebarikiwa, ili wazizingatie Aya zake, na wawaidhike wenye akili.]      [Swaad:29]

Na Mwenyezi Mungu ameashira katika aya nyingi kuhusu jambo hili lakufiri na kutafakari Aya za Qur’ani, ama Visa vilivyo simuliwa ndani ya Qur’ani, mfano wa aya hizi:

فَاقْصُصِ الْقَصَصَ لَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ}  الأعراف:176}

[Basi simulia hadithi, huenda wakatafakari.]     [Al-A’araaf:176]

كَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ}    يونس:24}

[Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri.]    [Yunus:24]

إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ}  الرعد:3}

[Hakika katika haya zimo Ishara kwa watu wanao fikiri.]   [Ar raa’d:3]

وَأَنْزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ}  النحل:44}

[Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri.]    [An Nah’l:44]

Hizi ni baadhi za aya zilizo kuja katika kutuhimiza kufikiri,na Aya zilizokuja kinamna hii ni Aya nyingi.

Inatakiwa mwenye kuisoma Qur’ani awe ni mwenye kuzingatia na kutafakari aya zake wala sio kusoma tu bila ya kuzigatia japo kuwa ni mwenye kupata thawabu.

Hii Qur’ani yataka izingatiwe na wenye akili busara na wenye kufikiria, kumanisha wasio tumia akili zao hawataeza kufahamu, hatimae hawezi kua na uwamuzi wowote zaidi ya kufwata yalio fahamika na wengine bila kujali hali au zama au mazingira ya hao walio fahamu wakati huo,kwa namna nyengine twaeza sema wasio fahamu hawaezi jitahidi wakapata hukumu inayo endana na zama wanazo ishi, sababu wamezoea kuiga kusema yalio Semwa na kufwata yalio fwatwa bila kuzingatia zama wanazo ishi. Huo ni upeo wa kufungika Akili na watu aina hiyo mara nyingi hudhuru jamii kuliko kunufaisha ata iwapo wanashiriwa kua wamesoma lakini hawakufahamu.

Asema Mtume ﷺ:

مَنْ يُرِدِ اللَّهُ بِهِ خَيْرًا يُفَقِّهْهُ فِي الدِّينِ]   رواه البخاري ومسلم]

[Mwenyezi Mungu s.w anapo mtakia mja kheri humpa ufahamu wa dini.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Tuna haja sana leo kueza kufahamu Uislamu wetu kama mfumo kamili wa Maisha yetu katika nyaja zote ndipo tue mfano duniani kama watu wenye Katiba ilio kamilika Mzuri inayo muitikia Mwanadamu juu ya mahitajio yote bila yakua ni yenye kumnyima baadhi yanaoendana na maumbile, endapo tutafahamu UISLAMU wetu ipasavyo hapo tutaweza kuongoza Ulimwengu nakua mfano bora zaidi sababu ndio Mfumo wa Mwenyeezimungu (s.w) wa haki.

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ}    آل عمران:19}

[Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.]     [Al-Imraan:19]

Sasa nimefahamu.

Imeandikwa na Sheikh Yusuf Abdi

Mombasa-Kenya

Kwa Hisani ya UONGOFU:

http://uongofu.com/index.php/makala/sehemu-ya-yautangazaji/579-sasa-nimefahamu

“There comes forth from their [bees’] bellies, a drink of varying colour wherein is healing for men”
Image[al-Nahl 16:69] 

Ibn al-Qayyim (may Allaah have mercy on him) said: 
With regard to the Prophet’s guidance concerning drinking, it is the most perfect guidance that maintains good health. He used to drink honey mixed with cold water. This is very healthy and no one can understand how healthy it is except the most prominent doctors. For drinking honey on an empty stomach dissolves phlegm, cleanses the stomach, reduces its viscosity, washes away waste matter, warms it up a little and opens its inlet and exit. It has a similar effect on the liver, kidneys and urethra. It is more beneficial to the stomach than any other kind of sweet that enters it. However it may cause side effects in people who are suffering from jaundice because it is hot and jaundice is hot, so it may aggravate it; in order to avoid this effect vinegar may be added, then honey will becom
e beneficial and drinking it will be more useful than many or most of the drinks that are made from sugar, especially for those who are not used to these drinks, for if they drink them they will not suit them as well as honey does, or even come close. 

With regard to drinking it when it is collected and well-prepared, this is one of the most beneficial things for the body, and one of the greatest means of preserving health; it is very refreshing and energizing, and it is good for the liver and heart. If it is well-prepared it provides nutrition and makes food reach all parts of the body in the most effective manner. 

Zaad al-Ma’aad, 4/224, 225

A natural cancer vaccine!!

…. A natural cancer vaccine!!
Allah Subhanahu wa Ta’alah wants the best for us and does not want us to have cancer or any other disease and as long as we read and implement the Qura’an we will never suffer in shaa Allah, Allah SWT says: (We have not sent down to you the Qur’an that you be distressed) 20:2

Allah SWT placed in each and every one of us a gland in our head called the Pineal gland, it is considered to be the biological clock of the human body and it is also connected to the sight nerve. It is so small like a size of a pea. Every day after Isha this glands start producing a substance called Melatonin which runs in the blood streams and protects the body from cancer. This gland works only in the dark so if the eye is exposed to light the gland does not work because it thinks night has not come yet. So if you stay up at night in the light you are depriving your body from this daily vaccine. Allah SWT says: (We erased the sign of the night and made the sign of the day visible ) 17:12

Unfortunately, we nowadays made the sign of the night more visible than the sign of day by staying up all night and sleeping all day. Our parents and grandparents who used to sleep early in the night and wakeup early in the morning did not suffer from cancer or any of the diseases we hear about today.

A study was done on to types of chicken farms, a natural breeding type where chickens sleep early at night and wakeup early in the morning to feed and an artificial one where they wake the chickens at night for feeding. The results were 30% of the artificial farming chickens were diagnosed with cancer while the natural farming chickens were completely healthy and clear from any disease.

Allah SWT placed this daily vaccine in our bodies to protect us so let’s put it to use by sleeping early. The gland starts working from after Isha until two hours before fajr!!! Subhana Allah as if it’s telling us two hours before fajr is the last third of the night so wake up for Qeyaamulail. Follow your guide and your manual (the Quran) my dear sisters and brothers and you will always be fine in shaa Allah. Alhamdulilah ala ne3mat Al Qura’an

Cancer remedy proven from hadith and elaborated by science
Subhan Allah.. Must read the miraculous physiology, Allah designed inside man..

(Source – Forwarded)

Self Confidence, Got Some??

Confidence is generally described as a state of being certain either that a hypothesis or prediction is correct or that a chosen course of action is the best or most effective. Self-confidence is having confidence in oneself.

Self-confidence is the one thing that is much more important than many other abilities and traits. If you do not have self-confidence, what you do will never become fruitful at all.

You can increase your self confidence by doing your best at everything you do at home, at your job and in regular day to day activities. Image

Self-confidence is the first step to progress, development, achievement and success. Even if you have a lot of abilities and a lot of knowledge, if you do not have Self-confidence you cannot be a success.

The successes and achievements in turn will strengthen your self-confidence further. People like, respect, believe and trust persons who are self-confident.

More and more opportunities automatically come the way of the person with a good self-confidence. In short, success flows to those who have a genuine Self-confidence.

Note:If you’re a person who feels a little less confident than you would like in many different situations, then you might prefer to work on your overall self-image, to change it so that you see your self as fundamentally more confident as a person.